UKINUNUA MBAO ZENYE DAWA USAFIRI NI BURE, Piga 0674 344 436.

Tuesday, 30 November 2021

FUNGA MWAKA NASISI KWA MBAO ZENYE DAWA BEI POA NA ZAWADI KEM KEM

 Tumekuja na ofa ya kufunga mwaka kwa wateja wetu ambapi mteja atapata zawadi na ofa nyingi ikiwemo.

                ✓ Misumari  ya Bure

                ✓ Waya kenchi Bure

                ✓ Usafiri Bure mpaka sait


Kwa wateja wetu wapya pia Tuna zawadi za Tshirt ambayo mteja atazawadiwa atakaponunua mbao zenye dawa kwetu



Karibu fika ofisini kwetu Buguruni chama Dar es salaam.

Kwa maelezo zaidi Piga/Whatsapp kwa kupitia namba zifuatazo÷

            ☎ 0674 344 436   ☎ 0768 206 093

                WHATSAPP

Tuesday, 23 November 2021

MTAMBO NA DAWA YA KUTIBU (kutreat) MBAO

Ukisikia mbao za kupauwa zenyw dawa ni mbao ambazo zinatibiwa kwa kupikwa kwa mtambo maalumu kwa dawa maalumu ya CCA (Chromoted Coper Arsenate) unaweza kuona mtambo wetu hapo kwenye picha.



Dawa inayotumika kutibu (kutreat) mbao inaitwa CCA (Chromated Coper Arsenate ) ambayo unaweza kuiona hapo chini kwenye picha.


Hii ndiyo sababu tunasema mbao zetu ni treated original na unapotumia mbao zetu hazibunguliwi na wadudu wa aina zote.


Pia mteja akinunua kwetu anapata ofa zisizokoma kama Misumari ya Bure na Usafiri wa Bure.


Tunapatikana Buguruni chama Dar es salaam.

            Tupigie simu 0674 344 436

            Whatsapp 0674 344 436

            Instagram: agrhardware 

            Email: agrhardware12@gmail.com

PUNGUZO LA BEI KWA MBAO NA MABATI

 Habari ndugu mteja wetu, karibu kwenye ofa zetu unaponunua mbao zenye dawa na mabati ya rangi Original kutoka kwetu.



Unaponunua kwetu unapata ofa na zawadi kem kem ikiwemo÷
    ✓ Misumari ya Bure 10kg
    ✓ Waya kenchi za bure
    ✓ Kofia na Valley za Bure
    ✓ Usafiri Bure mpaka sait kwako

Unaweza kututembelea ofisini kwetu kuona ubora wa badhaa zetu na kupata elimu na ushauri kuhusiana na ujenzi, Ofisi zetu ziko Buguruni Chama Dar es salaam.

Wasiliana nasi kwa njia zifuatazo÷
          Tupigie: 0674 344 436
     Whatsapp: 0674 344 436
Instagaram : agrhardware
Email: agrhardware12@gmail.com