Ukisikia mbao za kupauwa zenyw dawa ni mbao ambazo zinatibiwa kwa kupikwa kwa mtambo maalumu kwa dawa maalumu ya CCA (Chromoted Coper Arsenate) unaweza kuona mtambo wetu hapo kwenye picha.
Dawa inayotumika kutibu (kutreat) mbao inaitwa CCA (Chromated Coper Arsenate ) ambayo unaweza kuiona hapo chini kwenye picha.
Hii ndiyo sababu tunasema mbao zetu ni treated original na unapotumia mbao zetu hazibunguliwi na wadudu wa aina zote.
Pia mteja akinunua kwetu anapata ofa zisizokoma kama Misumari ya Bure na Usafiri wa Bure.
Tunapatikana Buguruni chama Dar es salaam.
Tupigie simu 0674 344 436
Whatsapp 0674 344 436
Instagram: agrhardware
Email: agrhardware12@gmail.com
No comments:
Post a Comment