UKINUNUA MBAO ZENYE DAWA USAFIRI NI BURE, Piga 0674 344 436.

Tuesday, 30 November 2021

FUNGA MWAKA NASISI KWA MBAO ZENYE DAWA BEI POA NA ZAWADI KEM KEM

 Tumekuja na ofa ya kufunga mwaka kwa wateja wetu ambapi mteja atapata zawadi na ofa nyingi ikiwemo.

                ✓ Misumari  ya Bure

                ✓ Waya kenchi Bure

                ✓ Usafiri Bure mpaka sait


Kwa wateja wetu wapya pia Tuna zawadi za Tshirt ambayo mteja atazawadiwa atakaponunua mbao zenye dawa kwetu



Karibu fika ofisini kwetu Buguruni chama Dar es salaam.

Kwa maelezo zaidi Piga/Whatsapp kwa kupitia namba zifuatazo÷

            ☎ 0674 344 436   ☎ 0768 206 093

                WHATSAPP

Tuesday, 23 November 2021

MTAMBO NA DAWA YA KUTIBU (kutreat) MBAO

Ukisikia mbao za kupauwa zenyw dawa ni mbao ambazo zinatibiwa kwa kupikwa kwa mtambo maalumu kwa dawa maalumu ya CCA (Chromoted Coper Arsenate) unaweza kuona mtambo wetu hapo kwenye picha.



Dawa inayotumika kutibu (kutreat) mbao inaitwa CCA (Chromated Coper Arsenate ) ambayo unaweza kuiona hapo chini kwenye picha.


Hii ndiyo sababu tunasema mbao zetu ni treated original na unapotumia mbao zetu hazibunguliwi na wadudu wa aina zote.


Pia mteja akinunua kwetu anapata ofa zisizokoma kama Misumari ya Bure na Usafiri wa Bure.


Tunapatikana Buguruni chama Dar es salaam.

            Tupigie simu 0674 344 436

            Whatsapp 0674 344 436

            Instagram: agrhardware 

            Email: agrhardware12@gmail.com

PUNGUZO LA BEI KWA MBAO NA MABATI

 Habari ndugu mteja wetu, karibu kwenye ofa zetu unaponunua mbao zenye dawa na mabati ya rangi Original kutoka kwetu.



Unaponunua kwetu unapata ofa na zawadi kem kem ikiwemo÷
    ✓ Misumari ya Bure 10kg
    ✓ Waya kenchi za bure
    ✓ Kofia na Valley za Bure
    ✓ Usafiri Bure mpaka sait kwako

Unaweza kututembelea ofisini kwetu kuona ubora wa badhaa zetu na kupata elimu na ushauri kuhusiana na ujenzi, Ofisi zetu ziko Buguruni Chama Dar es salaam.

Wasiliana nasi kwa njia zifuatazo÷
          Tupigie: 0674 344 436
     Whatsapp: 0674 344 436
Instagaram : agrhardware
Email: agrhardware12@gmail.com





Sunday, 25 April 2021

OFA ZINAENDELEA KWA MBAO ZENYE DAWA

Ofa bado sinaendelea kwa wateja wanaonunua Mbao zenye dawa.
Ofa hizo ni pamoja na Misumari ya Bure na Usafiri wa Bure mpaka sait.
Tunapatikana Buguruni chama Dar es salaam.
Piga simu 0674 344 436 , 0768 206 093
email...... agrhardware12@gmail.com

Thursday, 22 April 2021

OFA YA MABATI YA MSOUTH

Mabati ya Msouth yapo kwa bei za ofa sasa unaweza kupata mpaka sh 23,500 tu.
Ofa hii imeambatana na zawadi nono za Kofia za Bure na Misumari ya Bure bila kusahau Usafiri ni Bure mikoa yote.
Karibu fika ofsini kwetu Buguruni chama, Dar es salaam kununua na kupata elimu juu ya Mabati Imara.
Tupigie 0674 344 436 / 0768 206 093
email: agrhardware12@gmail.com

MABATI YA MSOUTH (RANGI)

Ndugu mteja wetu tunapenda kutambulisha bidhaa za mabati ya rangi wengi hupenda kuita Bati za Msouth.
Bati hizi tuna Kampuni tifauti tofauti ikiwemobati za  ALAF LIMITED, SUNSHARE INVESTMENT na KIBOKO.
       Pia tuna Mabati ya aina tofauti tofauti ambazo ni Migongo mipana, Migongo midogo, na Migongo muundo wa Vigae
Mabati yote tunauza kwa bei poa za kiwandani.
Tembelea ofsi zetu zilizoko Buguruni, Chama, Dar es salaam kwa kununua na kupata elimu juu ya Mabati.
Tupigie 0674 344 436 / 0768 206 093
email: agrhardware12@gmail.com

Wednesday, 21 April 2021

OFA, UKINUNUA MBAO ZA KUPAUWA ZENYE DAWA KWETU UNASAFIRISHIWA BURE

Karibu mteja wetu upate ofa zetu, tunakuletea ofa nyingine mpya Ukununua kwetu Mbao zenye dawa (treated) unapata Ofa ya kusafirishiwa Bure mpaka sait.
Ofa hii ni kwa wateja wanaonunua mbao za kupauwa zenye dawa kuanzia mbao pcs 100 kuendelea.
 Fika ofsini kwetu Buguruni chama Dsm
Piga 0674 344 436 / 0768 206 093

ZIFAHAMU MBAO ZENYE DAWA / MBAO TREATED

Mbao zenye dawa (Mbao treated) hizi ni mbao ambazo zinatibiwa kwa dawa maalumu kitaalamu huitwa Chromated Copper Arsenate (CCA) ambayo hufanya mbao hizi zisiliwe na wadudu wa aina zote.
     
Mbao hizi hutibiwa kwa kupikwa kwenye mtambo Maalumu ambapo dawa huingia mpaka ndani kiasi kwamba mdudu hawezi kuingia ndani.
Mbao hizi zinapatikana kwetu kwa bei poa.
Tunakusafirishia Bure mpaka sait kwako.

          Wasiliana nasi 
simu. 0674 344 436 / 0768 206 093
email.    agrhardware12@gmail.com
whatsapp.     BONYEZA HAPA