UKINUNUA MBAO ZENYE DAWA USAFIRI NI BURE, Piga 0674 344 436.

Wednesday, 21 April 2021

ZIFAHAMU MBAO ZENYE DAWA / MBAO TREATED

Mbao zenye dawa (Mbao treated) hizi ni mbao ambazo zinatibiwa kwa dawa maalumu kitaalamu huitwa Chromated Copper Arsenate (CCA) ambayo hufanya mbao hizi zisiliwe na wadudu wa aina zote.
     
Mbao hizi hutibiwa kwa kupikwa kwenye mtambo Maalumu ambapo dawa huingia mpaka ndani kiasi kwamba mdudu hawezi kuingia ndani.
Mbao hizi zinapatikana kwetu kwa bei poa.
Tunakusafirishia Bure mpaka sait kwako.

          Wasiliana nasi 
simu. 0674 344 436 / 0768 206 093
email.    agrhardware12@gmail.com
whatsapp.     BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment